sw_act_text_reg/17/22.txt

1 line
377 B
Plaintext

\v 22 Kwa hiyo Paulo akasimama katikati ya watu wa Areopago na kusema, "Enyi watu wa Athene, naona kuwa ninyi ni watu wa dini kwa kila namna, \v 23 Kwani katika kupita kwangu na kuangalia vitu vyenu vya kuabudu, nimeona maneno yalioandikwa kwenye moja ya madhabahu yenu, ikisema "KWA MUNGU ASIYEJULIKANA". Hivyo basi, huyo mnayemwabudu pasipokujua, ndiye ninayewajulisha ninyi.