sw_act_text_reg/17/19.txt

1 line
349 B
Plaintext

\v 19 Wakamchukua Paulo na kumleta Areopago, wakisema, "Twaweza kujua haya mafundisho mapya unayoyaongea? \v 20 Kwasababu unaleta mambo mapya katika masikio yetu. Kwahivyo tunataka kujua haya mambo yana maana gani?" \v 21 (Na watu wote wa Athene pamoja na wageni waliopo kwao, hutumia muda wao aidha katika kuongea na kusikiliza juu ya jambo jipya.)