sw_act_text_reg/14/23.txt

1 line
426 B
Plaintext

\v 23 Walipo wateua kwa ajili yao wazee wa kila kusanyiko la waaminio, na wakiwa wameomba na kufunga, waliwakabidhi kwa Bwana, ambaye wao walimwamini. \v 24 Kisha walipita katika Pisidia, walifika Pamfilia. \v 25 Wakati walipoongea maneno katika Perga, waliteremka kwenda Atalia. \v 26 Kutoka huko walipanda meli hadi Antiokia ambako walikuwa wamejitoa kwa neema ya Mungu kwa ajili ya kazi ambayo sasa walikuwa wameikamilisha.