sw_act_text_reg/10/34.txt

1 line
203 B
Plaintext

\v 34 Ndipo Petro akafungua mdomo wake na kusema "Kweli, nimeamini kuwa Mungu hawezi kuwa na upendeleo. \v 35 Badala yake, kila taifa mtu yeyote anayemwabudu na kufanya matendo ya haki anakubalika kwake.