sw_act_text_reg/10/30.txt

1 line
606 B
Plaintext

\v 30 Kornelio akasema, "Siku nne zilizopita, wakati kama huu nilikuwa naomba muda wa saa tisa mchana ndani ya nyumba yangu; Nikaona mbele yangu mtu amesimama akiwa na mavazi meupe, \v 31 Akaniambia "Kornelio maombi yako yamesikiwa na Mungu, na zawadi zako kwa masikini zimekuwa ukumbusho mbele za Mungu. \v 32 Kwa hiyo tuma mtu Yafa na akamwite mtu mmoja anayeitwa Simoni aje kwako, ambaye pia huitwa Petro. ambaye anaishi kwa mtengenezaji wa Ngozi mmoja aitwaye Simoni ambaye nyumba yake iko pembeni mwa bahari. \v 33 Zingatia: Msatri huu, "Naya atakapokuja atasema nanyi," haumo kwenye maandiko ya kale.