sw_act_text_reg/10/27.txt

1 line
430 B
Plaintext

\v 27 Wakati Petro akiwa anaongea naye, alienda ndani akakuta watu wamekusanyika pamoja. \v 28 Akawaambia, "Ninyi wenyewe mnajua kuwa siyo sheria ya kiyahudi kushirikiana au kutembelewa na mtu ambaye si wa taifa hili. Lakini Mungu amenionesha mimi kuwa sipaswi kumwita mtu yeyote ni najisi au mchafu. \v 29 Na ndiyo maana nimekuja bila kubisha, nilipotumwa kwa ajili ya hiyo. Kwa hiyo niwaulize kwa nini mlitumwa kwa ajili yangu."