sw_act_text_reg/10/07.txt

1 line
247 B
Plaintext

\v 7 Baada ya Malaika aliyekuwa akisema naye kuondoka, Kornelio akawaita watumishi wa nyumbani kwake wawili, na askari aliyekuwa akimwabudu Mungu kati ya maaskari waliokuwa wanamtumikia. \v 8 Kornelio aliwaambia yote yaliyotokea na akawatuma Yafa.