sw_act_text_reg/10/03.txt

1 line
506 B
Plaintext

\v 3 Muda wa saa tisa za mchana, akaona maono Malaika wa Mungu anakuja kwake. Malaika akamwambia "Kornelio! \v 4 Kornelio akamwangalia malaika na alikuwa na hofu kubwa sana akasema "Hii ni nini mkuu?" Malaika akamwambia "Maombi yako na zawadi zako kwa masikini zimepanda juu kama kumbukumbu kwenye uwepo wa Mungu". \v 5 Sasa tuma watu kwenda mji wa Yafa kumleta mtu mmoja anayeitwa Simoni ambaye pia huitwa Petro. \v 6 Anakaa na mtengenezaji wa Ngozi aitwaye Simoni ambaye nyumba yake iko kando ya bahari."