sw_act_text_reg/01/06.txt

1 line
403 B
Plaintext

\v 6 Na walipokuwa wamekutanika pamoja walimuuliza, "Bwana, hivi huu ndio muda utakaowarudishia Israeli ufalme?" \v 7 Yeye akawaambia, "Siyo sawa kwenu kujua wakati au majira ambayo Baba amekusudia kwa mamlaka yake mwenyewe." \v 8 Lakini mtapokea nguvu, wakati Roho Mtakatifu atakapokuja juu yenu, na ninyi mtakuwa mashahidi wangu kote katika Yerusalemu na Uyahudi yote na Samaria mpaka mwisho wa nchi."