sw_act_text_reg/21/37.txt

1 line
246 B
Plaintext

\v 37 Paulo alipokuwa analetwa ndani ya ngome, alimwambia mkuu wa jeshi, "Naweza kukwambia kitu?" Yule mkuu wa jeshi akasema, "Je unaongea Kiyunani? \v 38 Je, wewe si yule Mmisri ambaye awali aliongoza uasi na alichukua magaidi elfu nne nyikani?"