sw_act_text_reg/21/20.txt

1 line
349 B
Plaintext

\v 20 Wakati waliposikia hayo, wakamsifu Mungu, na wakamwambia, "Unaona, ndugu, kuna maelfu wangapi wameamini miongoni mwa Wayahudi. Wao wote wana nia ya kushika sheria. \v 21 Wameambiwa kuhusu wewe, kwamba unafundisha Wayahudi wanaoishi kati ya mataifa kuachana na Musa, na kwamba unawaambia wasiwatahiri watoto wao, na wasifuate desturi za zamani.