sw_act_text_reg/21/17.txt

1 line
288 B
Plaintext

\v 17 Tulipofika Yerusalemu, ndugu walitukaribisha kwa furaha. \v 18 Kesho yake Paulo alienda pamoja nasi kwa Yakobo, na wazee wote walikuwepo. \v 19 Baada ya kuwasalimu, aliwapa taarifa moja baada ya nyingine ya mambo ambayo Mungu aliyotenda miongoni mwa mataifa kwa kupitia huduma yake.