sw_act_text_reg/21/07.txt

1 line
342 B
Plaintext

\v 7 Hata tulipomaliza safari yetu kutoka Tiro, tukafika Tolemai. Pale tulisalimia ndugu, na kukakaa nao kwa siku moja. \v 8 Kesho yake tuliondoka tukaenda Kaisaria. Sisi tukaingia nyumbani mwa Filipo, mhubiri wa injili, aliyekuwa mmoja wa wale saba, nasi tukakaa pamoja naye. \v 9 Mtu huyu alikuwa na mabinti wanne mabikira ambao walitabiri.