sw_act_text_reg/21/01.txt

1 line
248 B
Plaintext

\v 1 Wakati tulipokua tumeachana nao, na tunasafiri baharini, tukafika moja kwa moja kwenye mji wa Kosi, na kesho yake tukafika mji wa Rodo, na kutoka huko tukafika mji wa Patara. \v 2 Tulipopata meli inayovuka kwenda Foinike, tulipanda tukasafiri.