sw_act_text_reg/19/18.txt

1 line
344 B
Plaintext

\v 18 Pia, wengi wa waumini walikuja na wakaungama na wakidhihirisha matendo mabaya waliyoyafanya. \v 19 Wengi waliokuwa wakifanya uganga wakakusanya vitabu vyao, wakavichoma mbele ya kila mtu. Wakati wao walipohesabu thamani ya vitu hivyo, ilikuwa vipande hamsini elfu vya fedha. \v 20 Hivyo Neno la Bwana likaenea kwa upana sana katika nguvu.