sw_act_text_reg/16/35.txt

1 line
266 B
Plaintext

\v 35 Ilipokuwa mchana, mahakimu walituma ujumbe kwa yule mlinzi wa gereza wakisema, "Waruhusu wale watu waende", \v 36 Mlinzi wa gereza akamjulisha Paulo juu ya maneno hayo ya kuwa, "Mahakimu walituma ujumbe niruhusu mwondoke: hivyo tokeni nje na mwende kwa amani."