sw_act_text_reg/16/29.txt

1 line
305 B
Plaintext

\v 29 Mlinzi wa gereza aliomba taa ziletwe na akaingia ndani ya gereza kwa haraka, akitetemeka na kuogopa, akawaangukia Paulo na Sila, \v 30 na kuwatoa nje ya gereza na kusema, "Waheshimiwa, nifanye nini ili nipate kuokoka?" \v 31 Nao wakamwambia, "Mwamini Bwana Yesu nawe utaokoka pamoja na nyumba yako."