sw_act_text_reg/14/14.txt

1 line
490 B
Plaintext

\v 14 Lakini mitume, Barnaba na Paulo, walipolisikia hili, walirarua mavazi yao na kwa haraka walikwenda nje kwenye umati, wakilia \v 15 na kusema, "Enyi watu, kwanini mnafanya mambo haya? Na sisi pia ni binadamu wenye hisia kama za kwenu. Tunawaletea habari njema, kwamba mgeuke kutoka kwenye vitu hivi visivyofaa na kumwelekea Mungu aliye hai, aliyeumba mbingu, dunia na bahari na kila kitu kilichomo. \v 16 Katika nyakati zilizopita, aliwaruhusu mataifa kutembea katika njia zao wenyewe.