sw_act_text_reg/10/19.txt

1 line
287 B
Plaintext

\v 19 Wakati huo Petro alipokuwa akiwaza juu ya hayo maono, Roho akasema naye, "Tazama watu watatu wanakutafuta. \v 20 Amka na ushuke chini na uende nao. Usiogope kwenda nao, kwa sababu nimewatuma." \v 21 Petro akashuka chini kwao na kusema "Mimi ni yule mnayemtafuta. Kwa nini mmekuja?"