\v 3 Paul alisema, "Sasa ninyi mlibatizwaje?" Wakasema, "Katika ubatizo wa Yohana. \v 4 Basi Paulo akajibu, "Yohana alibatiza kwa ubatizo wa toba. Akawaambia wale watu kwamba wanapaswa kumwamini yule ambaye angekuja baada yake, yaani, Yesu."