\v 8 Umati na maofisa wa mji waliposikia mambo hayo, waliingiwa na wasiwasi. \v 9 Baada ya kuwa wamekwisha kuchukua fedha ya thamani ya ulinzi kutoka kwa Yason na wengine, waliwaachia waende.