1 line
268 B
Plaintext
1 line
268 B
Plaintext
|
\v 5 Wakati wamataifa na Wayahudi walipojaribu kuwashawishi viongozi wao kuwatendea vibaya na kuwaponda mawe Paulo na Barnaba, \v 6 wakalitambua hilo na kukimbilia katika miji ya Likaonia, Listra na Derbe, na maeneo yanayozunguka pale, \v 7 na huko waliihubiri injili.
|