sw_act_text_reg/13/16.txt

1 line
331 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 16 Kwa hiyo Paulo alisimama na kuwapungia mkono; alisema, "Wanaume wa Israeli na enyi mnao mtii Mungu, sikilizeni. \v 17 Mungu wa hawa watu wa Israeli aliwachagua baba zetu na kuwafanya watu wengi walipokaa katika nchi Misri, na kwa mkono wake kuinuliwa aliwaongoza nje yake. \v 18 Kwa miaka arobaini aliwavumilia katika jangwa.