sw_act_text_reg/14/21.txt

1 line
289 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 21 Baada ya kufundisha injili katika mji ule na kuwafanya wanafunzi wengi, walirudi Listra, hadi Ikoniamu, na hadi Antiokia. \v 22 Waliendelea kuimarisha nafsi za wanafunzi na kutiwa moyo kuendelea katika imani, akasema, "Lazima tuingie katika ufalme wa Mungu kwa kupitia mateso mengi."