Fri Apr 08 2022 22:09:17 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-04-08 22:09:18 +03:00
parent 72546eddb4
commit f094252147
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 5 Kwa nje watakuwa na sura ya ucha Mungu, lakini wakikana nguvu yake; Jiepushe na watu hao. \v 6 Kwa kuwa baadhi yao ni wanaume wanaoingia kwenye familia za watu na kushawishi wanawake wajinga. Hawa ni wanawake waliojawa dhambi na wenye kuongozwa na tamaa za kila aina. \v 7 Wanawake hawa hujifunza siku zote, lakini kamwe hawawezi kuufikia ufahamu wa ile kweli.
\v 5 Kwa nje watakuwa na sura ya ucha Mungu, lakini wakikana nguvu yake; Jiepushe na watu hao. \v 6 Kwa kuwa baadhi yao ni wanaume wanaoingia kwenye familia za watu na kushawishi wanawake wajinga, Hawa ni wanawake waliojawa dhambi na wenye kuongozwa na tamaa za kila aina. \v 7 jifunza siku zote, lakini kamwe hawawezi kuufikia ufahamu wa ile kweli.