Fri Apr 08 2022 22:37:17 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-04-08 22:37:18 +03:00
parent e57249b03a
commit 0d2f766ffb
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 12 Kwa sababu hii nateseka pia, lakini sioni haya kwa kuwa namjua yeye niliyekwisha kumuamini. Nina hakika kuwa yeye anaweza kukitunza kile nilichokikabidhi kwake hata siku ile. \v 13 Ukumbuke mfano wa ujumbe wa uaminifu uliousikia toka kwangu, pamoja na imani na upendo ulio ndani ya Kristo Yesu. \v 14 Yatunze Mambo mazuri aliyokukabidhi Mungu kupitia Roho Mtakatifu aishiye ndani yetu.
\v 12 Kwa sababu hii nateseka pia, lakini sioni haya kwa kuwa namjua yeye niliyekwisha kumuamini, nina hakika kuwa yeye anaweza kukitunza kile nilichokikabidhi kwake hata siku ile. \v 13 Ukumbuke mfano wa ujumbe wa uaminifu uliousikia toka kwangu, pamoja na imani na upendo ulio ndani ya Kristo Yesu. \v 14 Yatunze Mambo mazuri aliyokukabidhi Mungu kupitia Roho Mtakatifu aishiye ndani yetu.