sw_2sa_text_reg/02/26.txt

1 line
313 B
Plaintext

\v 26 Kisha Abneri akamwita Yoabu na kusema, "Je ni lazima upanga uendelee kurarua daima? Je haujui kwamba mwisho wake utakuwa mchungu? Hata lini ndipo uwaambie watu wako waache kuwafuatia ndugu zao?" \v 27 Yoabu akajibu, "Kama Mungu aishivyo, usingesema hivyo, askari wangu wangewafuatia ndugu zao hata asubuhi!"