sw_2sa_text_reg/20/04.txt

1 line
232 B
Plaintext

\v 4 Kisha mfalme akamwambia Amasa, "Uwaite watu wa Yuda ndani ya siku hizi tatu; wewe pia uwepo hapa." \v 5 Hivyo Amasa akaenda kuwaalika watu wote wa Yuda kwa pamoja, lakini akatumia muda mrefu kuliko mfalme alivyokuwa amemuamuru.