sw_2sa_text_reg/23/37.txt

1 line
168 B
Plaintext

\v 37 Zeleki Mwamoni, Naharai Mbeerothi, mbeba silaha wa Yoabu mwana wa Seruya, \v 38 Ira Mwithri, Garebu Mwithri, \v 39 Uria Mhiti - jumla yao wote thelathini na saba.