sw_2sa_text_reg/17/13.txt

1 line
342 B
Plaintext

\v 13 Ikiwa ataingia ndani ya mji kisha Israeli wote tutaleta kamba juu ya mji huo na kuukokotea mtoni, hata kusionekane hata jiwe moja dogo lililosalia." \v 14 Kisha Absalomu na watu wa Israeli wakasema, "Shauri la Hushai Mwarki ni jema kuliko lile la Ahithofeli. Yahwe aliwafanya wakatae shauri jema la Ahithofeli ili kumwangamiza Absalomu.