sw_2sa_text_reg/15/30.txt

1 line
396 B
Plaintext

\v 30 Lakini Daudi akaenda bila viatu huku akilia hata Mlima wa Mizeituni, naye alikuwa amefunika kichwa chake. Kila mtu miongoni mwao waliokuwa pamoja naye akafunika kichwa chake, nao wakaenda huku wakilia. \v 31 Mtu mmoja akamwambia Daudi kusema, Ahithofeli ni miongoni mwa waaini walio pamoja na Absalomu." Hivyo Daudi akaomba, "Ee Yahwe, tafadhari badili ushauri wa Ahithofeli kuwa upumbavu."