sw_2sa_text_reg/15/13.txt

1 line
505 B
Plaintext

\v 13 Mjumbe akaja kwa Daudi na kusema, "Mioyo ya watu wa Israeli inaambatana na Absalomu." \v 14 Hivyo Daudi akawambia watumishi wake waliokuwa pamoja naye huko Yerusalemu, "Haya na tuinuke na kukimbia kwani hakuna hata mmoja atakayesalimika kwa Absalomu. Jiandaeni kuondoka mara moja asije akatupata mara hata akasababisha madhara juu yetu na kuushambulia mji kwa makali ya upanga." \v 15 Watumishi wa mfalme wakamwambia, "Tazama, watumishi wako wapo tiyari kufanya lolote bwana wetu mfalme atakaloamua.