sw_2sa_text_reg/15/09.txt

1 line
242 B
Plaintext

\v 9 Hivyo mfalme akamwambia, "Nenda kwa amani". Absalomu akainuka na kwenda Hebroni. \v 10 Kisha Absalomu akatuma wapelelezi katika jamaa zote za Israeli, kusema, "Mara msikiapo sauti ya tarumbeta semeni, 'Absalomu anatawala katika Hebroni."