sw_2sa_text_reg/15/01.txt

1 line
425 B
Plaintext

\c 15 \v 1 Ikawa baada ya haya Absalomu akaandaa gari la farasi na farasi kwa ajili yake pamoja na watu hamsini wa kwenda mbele zake. \v 2 Absalomu alikuwa akiamka mapema na kusimama kando ya njia iliyoelekea katika lango la mji. Mtu yeyote aliyekuwa na shauri la kuja kwa mfalme kwa ajili ya hukumu, Absalomu alimwita na kumuuliza, "Unatoka mji upi?" Na mtu yule hujibu, Mtumishi wako anatoka mojawapo ya kabila za Israeli."