sw_2sa_text_reg/11/22.txt

1 line
257 B
Plaintext

\v 22 Hivyo mjumbe akaondoka na kwenda kwa Daudi akamwambia kila jambo ambalo Yoabu alimtuma kusema. \v 23 Na mjumbe akamwambia Daudi, "Mwanzoni adui walikuwa na nguvu kuliko sisi; walitukabili uwandani, lakini tukawarudisha nyuma kwenye maingilio ya lango.