sw_2sa_text_reg/09/05.txt

1 line
319 B
Plaintext

\v 5 Ndipo mfalme Daudi akatuma watu na kumtoa katika nyumba ya Makiri mwana wa Amieli huko Lo Debari. \v 6 Hivyo Mefiboshethi mwana wa Yonathani mwana wa Sauli, akaja kwa Daudi naye akainama uso wake hadi katika sakafu kwa kumheshimu Daudi. Daudi akasema, "Mefiboshethi." Naye akajibu, "Angalia, mimi ni mtumishi wako!