sw_2sa_text_reg/09/03.txt

1 line
311 B
Plaintext

\v 3 Hivyo mfalme akasema, "Je hakuna aliyesalia wa familia ya Sauli ambaye naweza kumuonyesha wema wa Mungu?" Siba akamjibu mfalme, "Yonathani ana mwana, ambaye ni mlemavu wa miguu. \v 4 Mfalme akamwambia, "Yupo wapi?" Siba akamjibu mfalme, "Tazama, yupo katika nyumba ya Makiri mwana wa Amieli huko Lo Debari.