sw_2sa_text_reg/07/06.txt

1 line
395 B
Plaintext

\v 6 Kwa maana sijawai kuishi katika nyumba tangu siku ile nilipowaleta wana wa Israeli kutoka Misri hata leo; badala yake nimekuwa nikitembea katika hema, hema la kukutania. \v 7 Mahali pote ambapo nimekuwa nikihama miongoni mwa wana wote wa Israeli, Je niliwahi kusema lolote na viongozi wa Israeli niliowaweka kuwachunga watu wangu Israeli, kusema, "Kwa nini hamjanijengea nyumba ya mierezi?"