sw_2sa_text_reg/03/17.txt

1 line
304 B
Plaintext

\v 17 Abneri akaongea na wazee wa Israeli kusema, "Zamani mlitaka Daudi awe mfalme wenu. \v 18 Basi sasa fanyeni hivyo. Kwa maana Yahwe alisema kuhusu Daudi kusema, "Kwa mkono wa Daudi mtumishi wangu nitawaokoa watu wangu Israeli kutoka katika mkono wa Wafilisti na kutoka katika mkono wa adui zao wote."