sw_2sa_text_reg/03/08.txt

1 line
304 B
Plaintext

\v 8 Hata ikawa Abneri akakasirika sana kutokana na maneno ya Ishboshethi naye akasema, "Je mimi ni kichwa cha mbwa wa Yuda? Ninaonyesha uaminifu kwa nyumba ya Sauli, baba yako, kwa jamaa yake, na rafiki zake, kwa kutokukuweka katika mkono wa Daudi. Na bado leo unanishtaki kwa uovu kuhusu huyu mwanamke.