sw_2sa_text_reg/14/08.txt

1 line
264 B
Plaintext

\v 8 Hivyo mfalme akamwambia mwanamke, "Nenda nyumbani kwako, nami nitaagiza jambo la kukufanyia." \v 9 Mwanamke kutoka Tekoa akamjibu mfalme, "Bwana wangu mfalme, hatia na iwe juu yangu na juu ya familia ya baba yangu. Mfalme na kiti chake cha enzi hawana hatia."