sw_2sa_text_reg/24/13.txt

1 line
445 B
Plaintext

\v 13 Hivyo Gadi akaenda kwa Daudi na kumwambia, "Je miaka mitatu ya njaa ije katika nchi yako? au miezi mitatu ukimbie kutoka kwa adui zako huku wakikufuatia? au kuwe na tauni ya siku tatu katika nchi yako? Amua sasa jibu gani nimrudishie aliyenituma." \v 14 Ndipo Daudi alipomwambia Gadi, "Nipo katika shida kubwa. Haya na tuanguke katika mikono ya Yahwe kuliko kuanguka katika mikono ya mwanadamu, kwani matendo yake ya rehema ni makuu sana."