sw_2sa_text_reg/22/44.txt

1 line
266 B
Plaintext

\v 44 Umeniokoa pia kutoka katika mashutumu ya watu wangu. Umeniweka kama kichwa cha mataifa. Watu nisiowajua wananitumikia. \v 45 Wageni walishurutishwa kuniinamia. Mara waliposikia kuhusu mimi, walinitii. \v 46 Wageni walikuja wakitetemeka kutoka katika ngome zao.