sw_2sa_text_reg/22/36.txt

1 line
152 B
Plaintext

\v 36 Umenipa ngao ya wokovu wako, na matakwa yako yamenifanya mkuu. \v 37 Umeitengenezea miguu yangu nafasi chini yangu, hivyo miguu yangu haikujikwaa.