sw_2sa_text_reg/22/32.txt

1 line
169 B
Plaintext

\v 32 Maana ni nani aliye Mungu isipokuwa Yahwe? Na ni nani aliyemwamba isipokuwa Mungu? \v 33 Mungu ni kimbilio langu, na umwongoza katika njia yake mtu asiye na hatia.