sw_2sa_text_reg/22/24.txt

1 line
171 B
Plaintext

\v 24 Nimekuwa bila hatia mbele zake pia, na nimejiepusha na dhambi. \v 25 Kwa hiyo Yahwe amenirejesha kwa kiasi cha uadilifu wangu, kwa kipimo cha usafi wangu mbele zake.