sw_2sa_text_reg/22/19.txt

1 line
265 B
Plaintext

\v 19 Walikuja kinyume changu siku ya shida yangu, lakini Yahwe alikuwa msaada wangu. \v 20 Pia aliniweka mahali panapo nafasi. Aliniokoa kwa kuwa alipendezwa nami. \v 21 Yahwe amenituza kwa kipimo cha haki yangu; amenirejesha kwa kiwango cha usafi wa mikono yangu.