sw_2sa_text_reg/22/17.txt

1 line
194 B
Plaintext

\v 17 Kutoka juu alifika chini; akanishikilia! Aliniondoa katika vilindi vya maji. \v 18 Aliniokoa kutoka kwa adui zangu wenye nguvu, kwao walionichukia, kwa maana walikuwa na nguvu sana kwangu.