sw_2sa_text_reg/22/01.txt

1 line
200 B
Plaintext

\v 1 Daudi akamwimbia Yahwe maneno ya wimbo huu siku ile Yahwe alipomwokoa katika mkono wa adui zake wote na katika mkono wa Sauli. \v 2 Akaomba hivi, "Yahwe ni mwamba wangu, ngome yangu, aliyeniokoa.