sw_2sa_text_reg/01/03.txt

1 line
366 B
Plaintext

\v 3 Daudi akamuuliza, "Unatoka wapi?" Yeye akajibu, "Nimeponyoka kutoka kambi ya Israeli." \v 4 Daudi akamwambia, "Tafadhali nieleze jinsi mambo yalivyokuwa." Akajibu, "Watu walikimbia kutoka vitani. Wengi wameanguka, na wengi wao wameuawa. Sauli na Yonathani mwanawe pia wameuawa." \v 5 Daudi akamwuliza kijana, "unajuaje kuwa Sauli na Yonathani mwanawe wameuawa?"